Wilaya ya Panevėžys
Wilaya ya Panevėžys (Kilithuania: Panevėžio apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 182,851. Mji wake mkuu ni Panevėžys.
Wilaya ya Panevėžys | |||
| |||
Mahali pa Wilaya ya Panevėžys katika Lituanya | |||
Nchi | Lituanya | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Panevėžys | ||
Eneo | |||
- Jumla | 7,881 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 300,300 |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Panevėžys kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Alytus | Kaunas | Klaipėda | Marijampolė | Panevėžys | Šiauliai | Tauragė | Telšiai | Utena | Vilnius |