Wilaya ya Utena (Kilithuania: Utenos apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 182,851. Mji wake mkuu ni Utena.

Wilaya ya Utena



Wilaya ya Utena

Bendera
Mahali paWilaya ya Utena
Mahali paWilaya ya Utena
Mahali pa Wilaya ya Utena katika Lituanya
Nchi Bendera ya Lituanya Lituanya
Mji mkuu Utena
Eneo
 - Jumla 7,201 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 186,400

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Utena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Wilaya za Lituanya
 
Alytus | Kaunas | Klaipėda | Marijampolė | Panevėžys | Šiauliai | Tauragė | Telšiai | Utena | Vilnius