Wilaya ya Baringo
Wilaya ya Baringo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Baringo | |
Mahali pa Wilaya ya Baringo katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kabarnet |
Eneo | |
- Jumla | 11,075.3 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 555,561 |
Makao makuu yalikuwa mjini Kabarnet.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Baringo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Baringo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |