Wilaya ya Bouaké
Wilaya ya Cote d'Ivoire
Wilaya ya Bouaké (kwa Kifaransa: département de Bouaké) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Gbêkê ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.
Wilaya ya Bouaké | |
Eneo la Wilaya ya Bouaké. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Mkoa | Gbêkê |
Serikali[1] | |
- Prefect | Konin Aka |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 680,694 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 680,694.
Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaké.
Wilaya ya Bouaké sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bouaké kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |