Wilaya ya Gagnoa
Wilaya ya Cote d'Ivoire
Wilaya ya Gagnoa (kwa Kifaransa: département de Gagnoa) ni moja kati ya Wilaya mbili za Mkoa wa Gôh ulioko kusini mwa Cote d'Ivoire.
Wilaya ya Gagnoa | |
Eneo la Wilaya ya Gagnoa. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Gôh-Djiboua |
Mkoa | Gôh |
Serikali[1] | |
- Prefect | N`Zi Kanga Remi |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 602,097 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 602,097.
Makao makuu ya eneo hilo ni Gagnoa.
Wilaya ya Gagnoa sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Gagnoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |