Wilaya ya Garissa
Wilaya ya Garissa ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Garissa | |
Mahali pa Wilaya ya Garissa katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Garissa |
Eneo | |
- Jumla | 45,720.2 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 623,060 |
Makao makuu yalikuwa mjini Garissa.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Garissa.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Garissa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |