Wilaya ya Ifakara Mjini

Wilaya ya Ifakara Mjini ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67500.

Mahali pa wilaya ya Kilombero (kijani cheusi) katika mkoa wa Morogoro (kijani) na Tanzania kwa jumla (kabla ya kugawa wilaya hiyo kuwa mbili).

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya ya Kilombero ilihesabiwa kuwa 407,880.[1] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 290,424 waliobaki upande wa wilaya ya Ifakara Mjini, yalipokuwa makao makuu ya wilaya ya Kilombero, baada ya kuigawa na kuunda wilaya ya Mlimba [2].

Marejeo

hariri
  1. "Tanzania.go.tz/census". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
  2. https://www.nbs.go.tz

Viungo ya nje

hariri
  Kata za Wilaya ya Ifakara Mjini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Ifakara | Katindiuka | Kibaoni | Kiberege | Kidatu | Kisawasawa | Lipangalala | Lumemo | Mang'ula | Mang’ula 'B' | Mbasa | Michenga | Mkula | Mlabani | Msolwa Station | Mwaya | Sanje | Signal | Viwanjasitini


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ifakara Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.