Wilaya ya Kiambu
Wilaya ya Kiambu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Kiambu | |
Mahali pa Wilaya ya Kiambu katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kiambu |
Eneo | |
- Jumla | 2,449.2 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,623,282 |
Makao makuu yalikuwa mjini Kiambu.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kiambu.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kiambu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |