Wilaya ya Kigoma
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Kigoma Vijijini)
Wilaya ya Kigoma ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kigoma yenye msimbo wa posta 47200.
Wilaya ya Kigoma Vijijini | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kigoma |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 222,792 |
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 211,566 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 222,792 [2].
Marejeo
hariri- ↑ "Tanzania census, Kigoma District Council". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-13. Iliwekwa mnamo 2014-01-16.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Kigoma Vijijini - Mkoa wa Kigoma - Tanzania | ||
---|---|---|
Bitale | Kagongo | Kagunga | Kalinzi | Kidahwe | Mahembe | Matendo | Mkigo | Mkongoro | Mungonya | Mwamgongo | Mwandiga | Nkungwe | Nyarubanda | Simbo | Ziwani |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kigoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |