Mkigo ni kata ya Wilaya ya Kigoma Vijijini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania, yenye msimbo wa posta 47205.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 5,521 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,252 waishio humo.[2]

Kijiji cha Mkigo kina ardhi nzuri kwa kilimo cha ndizi, michikichi, kahawa na mahindi.

Ndipo yanapochimbwa udongo madini aina ya pemba unaouzwa madukani sehemu mbalimbali Kigoma na Tanzania kwa ujumla.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Kigoma Vijijini - Mkoa wa Kigoma - Tanzania  

Bitale | Kagongo | Kagunga | Kalinzi | Kidahwe | Mahembe | Matendo | Mkigo | Mkongoro | Mungonya | Mwamgongo | Mwandiga | Nkungwe | Nyarubanda | Simbo | Ziwani

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkigo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.