Kagongo ni kata ya Wilaya ya Kigoma Vijijini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania, yenye msimbo wa posta 47209. Imepakana na kata nyingine mbalimbali kama Burumba; pia imepakana na nchi ya Burundi.

Kata hiyo ina ukubwa wa kilomita mraba 114.1 [1] na wastani wa mwinuko wa mita 1,045, sawa na futi 3,329.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 10,449 [2]. Mwaka 2016 katika ripoti ya ofisi ya taifa ya takwimu kuna watu takriban 10,235 katika kata hiyo [3]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,407 waishio humo.[4]

Kata hii ina fukwe tulivu sana karibu na ziwa Tanganyika [5] ambayo ni kivutio kimojawapo cha taifa ambacho ni maarufu sana Tanzania.

Marejeo

hariri
  1. "Tanzania: Lake Zone Tanzania (Districts and Wards) – Population Statistics, Charts and Map".
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 157
  3. "Kagera Postcodes" (PDF). Dodoma, Tanzania: Tanzania Communications Regulatory Authority. Archived (PDF) from the original on 29 July 2022. Retrieved 13 August 2022.
  4. Sensa ya 2012, Kigoma Region - Kigoma District Council
  5. https://www.bing.com/ck/a?!&&p=82ab809904b44a27JmltdHM9MTY4NDQ1NDQwMCZpZ3VpZD0wNjJmMzRlYi03NWU0LTYxMDMtMGQzMC0yNjQxNzQ1NjYwYTgmaW5zaWQ9NTE4MA&ptn=3&hsh=3&fclid=062f34eb-75e4-6103-0d30-2641745660a8&psq=kagongo+beach&u=a1aHR0cDovL3Rhbmdhbnlpa2Euc2kvTG9jYXRpb25zL3NsaWRlcy9LYWdvbmdvJTIwQmVhY2guaHRtbA&ntb=1
  Kata za Wilaya ya Kigoma Vijijini - Mkoa wa Kigoma - Tanzania  

Bitale | Kagongo | Kagunga | Kalinzi | Kidahwe | Mahembe | Matendo | Mkigo | Mkongoro | Mungonya | Mwamgongo | Mwandiga | Nkungwe | Nyarubanda | Simbo | Ziwani

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kagongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.