Wilaya ya Kirinyaga
Wilaya ya Kirinyaga ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Kirinyaga | |
Mahali pa Wilaya ya Kirinyaga katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kerugoya |
Eneo | |
- Jumla | 1,205.4 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 528,054 |
Makao makuu yalikuwa mjini Kerugoya.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kirinyaga.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kirinyaga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |