Simanjiro

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Simanjiro)

Wilaya ya Simajiro ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 178,693 waishio humo. [1]

Mahali pa Simanjiro (kijani) katika mkoa wa Manyara.

Simanjiro imepakana na mkoa wa Arusha upande wa kaskazini, mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini-mashariki, mkoa wa Tanga upande wa kusini-mashariki, wilaya ya Kiteto upande wa kusini, mkoa wa Dodoma upande wa kusini-magharibi na wilaya ya Babati kwenye magharibi.

Makao makuu ya wilaya yapo Orkesumet.

Wenyeji ni hasa Wamasai na ufugaji ni kazi yao hasa. Katika Mererani watu huchimba vito vya tanzanaiti.


MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit


  Kata za Wilaya ya Simanjiro - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Emboreet | Endiamtu | Endonyongijape | Kitwai | Komolo | Loiborsoit | Loiborsiret | Mererani | Msitu wa Tembo | Naberera | Naisinyai | Ngorika | Oljoro No.5 | Orkesumet | Ruvu Remit | Shambarai | Terrat


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Simanjiro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.