Wilaya ya Kwale ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Kwale
Mahali paWilaya ya Kwale
Mahali paWilaya ya Kwale
Mahali pa Wilaya ya Kwale katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kwale
Eneo
 - Jumla 8,270.3 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 649,931

Makao makuu yalikuwa mjini Kwale.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kwale.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kwale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.