Kaunti ya Kwale

Kaunti ya Kwale ni Kaunti nchini Kenya iliyoko kwenye eneo la Mkoa wa Pwani la awali. Mki mkuu uko Kwale lakini mji wake mkubwa ni Ukunda.

Kaunti ya Kwale
Kaunti
Kwale County in Kenya.svgKwale County in Kenya.svg
Kaunti ya Kwale katika Kenya
NchiFlag of Kenya.svg Kenya
Namba2
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Makao MakuuKwale
Miji mingineUkunda, Mariakani, Msambweni, Lunga Lunga
GavanaSalim Mvurya
Naibu wa GavanaFatuma Mohamed Achani
SenetaIssa Juma Boy
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Zuleikha Juma Hassan
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya kwale
SpikaSammy Ruwa
Maeneo bunge/Kaunti ndogo4
Eneo8,270.3 km2 (3,193.2 sq mi)
Idadi ya watu649,931
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutikwalecountygov.com

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 eneo la kaunti lilikuwa na wakazi 649,931.[1]

Kwale ina sehemu ya pwani kwenye mwambao wa Bahari Hindi kati ya Mombasa na Tanzania. Sehemu zinazotembelea sana na watalii ni Diani Beach katika tarafa ya Msambweni division. Shimba Hills National Reserve na hifadhi ya tembo ya Mwaluganje.

UtawalaEdit

Kaunti ya Kwale ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo Bunge Wadi
Msambweni Gombato Bongwe, Ukunda, Kinondo, Ramisi
Lungalunga Pongwe/Kikoneni, Dzombo, Mwereni, Vanga
Matuga Tsimba Golini, Waa, Tiwi, Kubo Kusini, Mkongani
Kinango Ndavaya, Puma, Kinango, Mackinnon,

Chengoni/Samburu, Mwavumbo, Kasemeni

Mamlaka ya mitaa (halmashauri)
Mamlaka Aina Wakazi* Wakazi wa miji*
Kwale Mji 28,470 4,196
Kaunti ya Kwale Kaunti 467,663 62,095
Jumla - 496,133 66,291
* 1999 census. Source:[3]
Vitengo vya kiutawala
Tarafa Wakazi* Wakazi wa miji* Makao makuu
Kinango 72,027 1,626 Kinango
Kubo, Kwale 48,769 0
Matuga 73,377 3,996 Kwale
Msambweni 211,814 55,964 Msambweni
Samburu 91,011 0 Samburu[4]
Shimba Hills 135 0
Jumla 496,133 61,586 -
* 1999 census. Sources:,,[5][6]

MijiEdit

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. http://www.scribd.com/doc/36672705/Kenya-Census-2009
  2. "Wawakilishi wa Wadi katika bunge la Kwale", Serikali ya Kaunti ya Kwale, ilipatikana 08-04-2018
  3. http://treasury.go.ke/cbs.go.ke/pdf/authority.pdf
  4. Samburu hii ni tofauti na Kaunti ya Samburu.
  5. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 28 September 2007. Iliwekwa mnamo 2007-03-23.
  6. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 18 July 2011. Iliwekwa mnamo 2007-11-27.

Viungo vya NjeEdit