Wilaya ya Longido ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23500.

Mahali pa wilaya ya Longido katika mkoa wa Arusha.

Wilaya hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na sehemu za wilaya ya Monduli. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya ilikuwa na wakazi 123,153. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 175,915 [1].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Longido - Mkoa wa Arusha - Tanzania
 

Elang'atadapash | Engarenaibor | Engikaret | Gelai Lumbwa | Gelai Meirugoi | Ilorienito | Kamwanga | Ketumbeine | Kimokouwa | Longido | Matale A | Mundarara | Namanga | Noondoto | Olmolog | Orbomba | Sinya | Tingatinga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Longido kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.