Wilaya ya Meru Kaskazini
Wilaya ya Meru Kaskazini ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Meru Kaskazini | |
Mahali pa Wilaya ya Meru Kaskazini katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mkoa | Mashariki |
Mji mkuu | Maua |
Eneo | |
- Jumla | 3,942 km² |
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 604,050 |
Makao makuu yalikuwa mjini Maua.
Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Meru.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Meru Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |