Wilaya ya Mwingi
Wilaya ya Mwingi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Mwingi.
Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Kitui.
Wilaya ilikuwa na wakazi 303.828 (sensa ya 1999). Walio wengi ni Wakamba. Mwanasiasa Kalonzo Musyoka ni mwenyeji wa Tseikuru katika Mwingi.
Eneo lapakana na hifadhi ya taifa ya Mwingi National Reserve (zamani Kitui North National Reserve).
Wilayani kulikuwa na majimbo mawili ya uchaguzi: Mwingi Kaskazini na Mwingi Kusini.
Miji (halmashauri) | |||
Mamlaka | Aina | Wakazi* | Wakazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Mwingi | mji | 67,678 | 10,138 |
Mwingi County | mashambani | 236,150 | 462 |
jumla | - | 303,828 | 10,600 |
Vitengo vya utawala | |||
Tarafa | Wakazi* | Wakazi wa miji.* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Central | 83,687 | 9,281 | Mwingi |
Kyuso | 34,272 | 0 | |
Migwani | 56,907 | 433 | Migwani |
Muumoni | 37,607 | 0 | |
Ngomeni | 10,712 | 0 | Ngomeni |
Nguni | 20,415 | 0 | Nguni |
Nuu | 36,561 | 0 | |
Tseikuru | 23,667 | 0 | Tseikuru |
Jumla | 303,828 | 9,714 | - |
* 1999 census. Sources: [1], [2], |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mwingi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |