Wilaya ya Narok
Wilaya ya Narok ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Narok | |
Mahali pa Wilaya ya Narok katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Narok |
Eneo | |
- Jumla | 17,921.2 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 850,920 |
Makao makuu yalikuwa mjini Narok.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Narok.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Narok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |