Wilaya ya Oumé

Wilaya ya Cote d'Ivoire


auto

Wilaya ya Oumé (kwa Kifaransa: département d'Oumé) ni moja kati ya Wilaya mbili za Mkoa wa Gôh ulioko Kusini mwa Cote d'Ivoire.

Wilaya ya Oumé
Mahali paWilaya ya Oumé
Mahali paWilaya ya Oumé
Eneo la Wilaya ya Oumé.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Gôh-Djiboua
Mkoa Gôh
Serikali[1]
 - Prefect François Dogbo Labé
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 274,020
GMT (UTC+0)

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 274,020.

Makao makuu ya eneo hilo ni Oumé.

Wilaya ya Oumé sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo

hariri
  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.