Wilaya ya Samburu
Wilaya ya Samburu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Samburu | |
Mahali pa Wilaya ya Samburu katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Maralal |
Eneo | |
- Jumla | 20,182.5 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 223,947 |
Makao makuu yalikuwa mjini Maralal.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Samburu.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Samburu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |