Wilaya ya Songwe
Wilaya ya Songwe ni jina la wilaya mojawapo katika mkoa wa Songwe nchini Tanzania yenye postikodi namba 54100 [1].
Wilaya ya Songwe | |
![]() |
|
Majiranukta: 8°25′26″S 33°01′44″E / 8.4238°S 33.0290°ECoordinates: 8°25′26″S 33°01′44″E / 8.4238°S 33.0290°E | |
Mkoa | Mkoa wa Songwe |
---|---|
Eneo | |
- Jumla | 16,070 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 133,692 |
Tovuti: http://www.songwedc.go.tz |
Katika wilaya ya Songwe maeneo maarufu ni Mkwajuni ambako ndio makao makuu ya wilaya.
Saza ni eneo maarufu kwa uchimbaji wa madini na kuna mgodi wa Shanta Gold Mine, Kanga, Mbangala.
Marejeo Edit
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-06. Iliwekwa mnamo 2018-01-06.
Kata za Wilaya ya Songwe - Mkoa wa Songwe - Tanzania | ||
---|---|---|
Chang'ombe | Galula | Gua | Ifwenkenya | Kanga | Kapalala | Magamba | Manda | Mbangala | Mbuyuni | Mkwajuni | Mpona | Mwambani | Namkukwe | Ngwala | Saza | Totowe | Udinde |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Songwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari . Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno |