Wilaya ya Taabo
Wilaya ya Cote d'Ivoire
Wilaya ya Taabo (kwa Kifaransa: département de Taabo) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Agnéby-Tiassa ulioko kusini-mashariki mwa Cote d'Ivoire.
Wilaya ya Taabo | |
Eneo la Wilaya ya Taabo. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lagunes |
Mkoa | Agnéby-Tiassa |
Serikali[1] | |
- Prefect | Koukougnon Legré |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 56,422 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 56,422.
Makao makuu ya eneo hilo ni Taabo.
Wilaya ya Taabo sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Taabo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |