Wilaya ya Trans-Nzoia


Wilaya ya Trans-Nzoia ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Trans-Nzoia
Mahali paWilaya ya Trans-Nzoia
Mahali paWilaya ya Trans-Nzoia
Mahali pa Wilaya ya Trans-Nzoia katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kitale
Eneo
 - Jumla 2,469.9 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 818,757

Makao makuu yalikuwa mjini Kitale.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Trans-Nzoia.

Iko katikati ya Mto Nzoia na Mlima Elgon.

Kihistoria, eneo hili limekuwa likikaliwa na Wakalenjin. Baada ya uhuru,mashamba mengi yaliyo wachwa na masetla wazungu yalinunuliwa na watu kutoka kundi la makabila mengine ya Kenya.

Wilaya hii ilikuwa na maeneo bunge matatu:

Serikali za Mitaa(Mabaraza ya miji)
Eneo Aina Idadi ya Watu* Wakaazi wa mjini*
Kitale Manispaa 86,055 63,245
Nzoia Baraza ya mji 489,607 0
Jumla - 575,662 63,245
* Sensa ya 1999 census|. Sources:[2][3]
Divisheni za utawala
Divisheni Idadi ya Watu* Wakazi wa mjini* Makao makuu
Central 147,992 42,884 Kitale
Cherangany 52,974 0 Cherangani
Endebess 61,481 0 Endebess
Kaplamai 89,858 0
Kiminini 64,685 0 Kiminini
Kwanza 88,727 0 Kwanza
Saboti 69,945 0 Saboti
Jumla 575,662 42,884 -
*Septemba 2005 | [4]

Marejeo hariri