Eneo bunge la Kwanza


Eneo bunge la Kwanza ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo matano katika Kaunti ya Trans-Nzoia. Jimbo hili lina wodi saba, kila moja ikichagua madiwani kwa baraza la Kaunti.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Noah Wekesa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 George Kapten Ford-K
1997 George Kapten Ford-K Kapten aliaga dunia mnamo Desemba 1999, ikipelekea Uchaguzi Mdogo [2]
2000 Noah Wekesa Ford-K
2002 Noah Wekesa NARC
2007 Noah Wekesa PNU
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Chepchoina 8,871
Endebess 8,610
Kaibei 7,346
Kaisagat 7,123
Kapomboi 11,944
Kapsitwet 6,791
Kwanza 9,336
Total 60,021
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. Daily Nation, 17 Aprili 2000: Kanu loss in by-election more than a triumph for opposition party
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency