Wilaya ya Pokot Magharibi
(Elekezwa kutoka Wilaya ya West Pokot)
Wilaya ya Pokot Magharibi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Pokot Magharibi | |
Mahali pa Wilaya ya Pokot Magharibi katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kapenguria |
Eneo | |
- Jumla | 8,418.2 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 512,690 |
Makao makuu yalikuwa mjini Kapenguria.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya West Pokot.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Pokot Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |