Kapenguria ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Pokot Magharibi. Ni kata ya Eneo bunge la Kapenguria[1].

Chuo cha Biblia cha Kapenguria.


Kapenguria
Kapenguria is located in Kenya
Kapenguria
Kapenguria

Mahali pa mji wa Kapenguria katika Kenya

Majiranukta: 1°14′0″N 35°07′0″E / 1.23333°N 35.11667°E / 1.23333; 35.11667
Nchi Kenya
Kaunti Pokot Magharibi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 71,477

Wakazi walikuwa 71,477 wakati wa sensa ya mwaka 2009[2].

Tanbihi hariri

  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
  2. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.