Jimbo la Zanzan

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Zanzan)


Jimbo la Zanzan (kwa Kifaransa: District du Zanzan) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko Kaskazini mashariki mwa nchi[1].

Jimbo la Zanzan
Jimbo la Zanzan is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Zanzan
Jimbo la Zanzan

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 8°40′13″N 3°20′41″W / 8.67028°N 3.34472°W / 8.67028; -3.34472
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Zanzan
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 934,352[1]

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 934,352[1].

Makao makuu yako Bondoukou.

Mikoa hariri

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2019.