Wiliamu Firmati (kwa Kifaransa: Guillaume Firmat; Tours, leo nchini Ufaransa, 1026 - 1103) alikuwa tabibu[1] ambaye, kisha kuhiji Yerusalemu, aligawa mali yake kwa fukara[2] akawa mkaapweke sehemu mbalimbali [3].

Fuvu la kichwa chake.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Aprili[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Jippé, Pégé (2006-09-17). "Prénoms de GUDULE à GUILLAUME" (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-12-09. Iliwekwa mnamo 2007-04-24.
  2. Jones, Terry. "William Firmatus". Patron Saints Index. Iliwekwa mnamo 2007-04-24.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/50690
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.