Wiliamu wa Pontoise

Wiliamu wa Pontoise (Uingereza, karne ya 12 - Pontoise, Ufaransa, 10 Mei 1192 hivi) alikuwa padri ambaye alitoa kwa bidii na moyo wa ibada huduma zake kama paroko wa Waingereza wenzake walioishi karibu na Paris, mji mkuu wa Ufaransa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.