Will You Be There
"Will You Be There" ni wimbo wa Michael Jackson ambao ulitolewa kama single mnamo mwaka wa 1993. Kibao hiki kimetolewa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous na pia umeonekana kama kibwagizo kwenye filamu ya Free Willy.
“Will You Be There” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Dangerous | |||||
B-side | "Man in the Mirror" "Girlfriend" | ||||
Imetolewa | Julai 1993 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||
Aina | Injili, Soul [1] | ||||
Urefu | 7:35 (toleo la albamu) 5:22 (Edit) 3:39 (Hariri la Redio) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson Bruce Swedien | ||||
Certification | Dhahabu (RIAA), (RIANZ) | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Orodha ya Nyimbo
hariri- "Will You Be There" (Edit) – 5:22
- "Man in the Mirror" – 5:15
- "Girlfriend" – 3:04
- "Will You Be There" (Album version) – 7:40
Mamixi
hariri- Album version – 7:40
- Edit – 5:22
- Radio edit – 3:39
- Instrumental - 3:25[2]
Chati
haririChati (1993) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Austrian Singles Chart | 10 |
Canadian Singles Chart | 3 |
Dutch Singles Chart | 3 |
Eurochart Hot 100 Singles | 7 |
French Singles Chart | 29 |
German Singles Chart | 12 |
Irish Singles Chart | 3 |
Israeli Singles Chart | 4 |
New Zealand RIANZ Singles Chart | 2 |
Swiss Singles Chart | 11[3] |
UK Singles Chart | 8 |
US Billboard Hot 100 | 7 |
US Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 53 |
US Billboard Hot Adult Contemporary Tracks | 5 |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Australian Singles Chart | 42[4] |
Austrian Singles Chart | 21 |
Danish Singles Chart | 14 |
German Singles Chart | 26 |
New Zealand Singles Chart | 29[5] |
Swedish Singles Chart | 22 |
Swiss Singles Chart | 3[3] |
UK Singles Chart | 51[6] |
U.S. Billboard Hot Digital Songs | 10[7] |
Marejeo
hariri- ↑ "Dangerous". Sputnik. Iliwekwa mnamo 2009-06-21.
- ↑ "THE JACKSONFAMILY-DATABASE - Michael Jackson". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-14. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.
- ↑ 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ "Australian Singles Chart". Australian Record Industry Association. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2009.
- ↑ "New Zealand Singles Chart". RIANZ. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2009.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help) - ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
- ↑ "U.S. Billboard Hot Digital Songs". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-29. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.
Viungo vya nje
hariri- "Will You Be There" - An Ode to Song - exploratory theories behind the "true" meaning of the song.
- Lyrics Archived 17 Julai 2011 at the Wayback Machine. at AllMichaelJackson.com
- Official YouTube video
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Will You Be There kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |