Give In to Me
"Give In to Me" ni jina la kutaja wimbo wa kumi wa mwanamuziki Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo huu ulishika nafasi ya #1 nchini New Zealand kwa majuma manne, na namba #2 kwenye chati za UK Singles Chart. Wimbo huu haujatolewa kule Amerika ya Kaskazini wala huko Asia.
“Give In to Me” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Dangerous | |||||
Imetolewa | Februari 1993 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||
Aina | Hard rock[1] | ||||
Urefu | 5:28 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson Bill Bottrell | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Muziki wa Video
haririMuziki wa video wa "Give In to Me" unamwonyesha Michael Jackson akiimba kwenye ukumbi na moja ya wanachama wa zamani wa bendi ya Guns N' Roses. Wanachama hao ni pamoja na Slash, Gilby Clarke na mpigaji kinanda wa Guns N' Roses Teddy Andreadis wakiwa ndani ya konseti la ndani la rock. Kwa mujibu wa Jackson mwenyewe - pale alipohojiwa na Oprah - ilikuwa imetoka kupigwa video yake masaa mawili nyuma kule nchini Ujerumani. Ile mimwanga-mwanga inayoonekana kwa nyuma kwenye video ni maujanja ya kompyuta tu na yamekuja kuwekwa hapo baadaye.
Chati
haririChati (1993) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 4 |
Austrian Singles Chart | 12 |
Dutch Singles Chart | 3 |
Eurochart Hot 100 Singles | 3 |
French Singles Chart | 7 |
Irish Singles Chart | 2 |
Israeli Singles Chart | 2 |
New Zealand Singles Chart | 1 |
Norwegian Singles Chart | 7 |
Swedish Singles Chart | 15 |
Swiss Singles Chart | 7[2] |
UK Singles Chart | 2 |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Swiss Singles Chart | 35[2] |
UK Singles Chart | 74 |
Orodha ya Nyimbo
hariri- "Give In to Me" – 5:26
- "Dirty Diana" – 4:52
- "Beat It" – 4:17
Marejeo
hariri- ↑ "Dangerous". Sputnik. Iliwekwa mnamo 2009-06-21.
- ↑ 2.0 2.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Give In to Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |