Dangerous (albamu)
Dangerous ni jina la kutaja albamu ya nane ya mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji, mfanyabiashara, kabaila, na mhisani wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 26 Novemba 1991. Imekuwa albamu yake ya pili kushika #1 kwenye chati za Billboard 200, ambapo ilitumia wiki nne kwenye chati hizo.
Dangerous | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 26 Novemba 1991 | ||||
Imerekodiwa | 25 Juni 1990 - 29 Oktoba 1991 | ||||
Aina | R&B, klabu/dance, dance-pop, urban, Pop rock, new jack swing[1] | ||||
Urefu | 76:58 | ||||
Lebo | Epic Records EK-45400 |
||||
Mtayarishaji | Michael Jackson Teddy Riley Bill Bottrell |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
|||||
Kasha lingine | |||||
Toleo Maalumu |
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Dangerous | |||||
|
Katika kipindi cha miaka 17, vyombo vya habari vilielezea kwamba rekodi imeuza takriban nakala milioni 32 kwa hesabu ya dunia nzima, na zingine milioni 7 ziliuzwa Marekani peke yake, na kuifanya iwe albamu iliyouzwa haraka sana kuliko albamu iliyopita ya Bad. Albamu imeshinda tuzo moja ya Grammy kwa Uhandisi Bora uliofanyika katika albamu - Bruce Swedien na Teddy Riley[2][3]
Mradi
haririMuziki wa video
haririOrodha ya nyimbo
haririDangerous | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
# | Jina | Mtunzi (wa) | Urefu | ||||||
1. | "Jam" | René Moore, Bruce Swedien, Michael Jackson, Teddy Riley | 5:39 | ||||||
2. | "Why You Wanna Trip on Me" | Riley, Bernard Belle | 5:24 | ||||||
3. | "In the Closet" | Jackson, Riley, mashairi ya rap na Vashawn | 6:31 | ||||||
4. | "She Drives Me Wild" | Jackson, Riley, mashairi ya rap na Aquil Davidson | 3:41 | ||||||
5. | "Remember the Time" | Riley, Jackson, Belle | 4:00 | ||||||
6. | "Can't Let Her Get Away" | Jackson, Riley | 4:58 | ||||||
7. | "Heal the World" | Jackson | 6:24 | ||||||
8. | "Black or White" (akimsh. Slash kwenye gitaa) | Jackson, mashairi ya rap na Bill Bottrell | 4:15 | ||||||
9. | "Who Is It" | Jackson | 6:34 | ||||||
10. | "Give In to Me" (akimsh. Slash gitaani) | Jackson, Bottrell | 5:29 | ||||||
11. | "Will You Be There" | Jackson | 7:40 | ||||||
12. | "Keep the Faith" | Glen Ballard, Siedah Garrett, Jackson | 5:57 | ||||||
13. | "Gone Too Soon" | Larry Grossman, Buz Kohan | 3:26 | ||||||
14. | "Dangerous" | Jackson, Bottrell, Riley | 6:59 |
Single zake
hariri- Oktoba 1991 - "Black or White" U.S. #1 / UK #1
- Januari 1992 - "Remember the Time" U.S. #3 / UK #3
- Aprili 1992 - "In the Closet" U.S. #6 / UK #8
- Julai 1992 (U.S.); Septemba 1992 (UK) - "Jam" U.S. #26 / UK #12
- Agosti 1992 (Europe); Februari 1993 (U.S.) - "Who Is It" U.S. #14 / UK #10
- Oktoba 1992 - "Heal the World" U.S. #27 / UK #2
- Februari 1993 - "Give In to Me" UK #2 (Europe only single)
- Mei 1993 - "Will You Be There" U.S. #7 / UK #8
- Novemba 1993 - "Gone Too Soon" UK #33 (UK only single)
Matunukio
haririNchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Kanada | 6x Platinamu | 600,000 [4] |
Chati ilizoshika
haririMwaka | Chati | Nafasi |
---|---|---|
1991 | Billboard 200 | 1 |
Norwegian Albums Chart | ||
Australian ARIA Albums Chart | ||
1992 | Billboard 200 | |
Norwegian Albums Chart | ||
Australian ARIA Albums Chart |
Marejeo
hariri- ↑ "Dangerous". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
- ↑ "Grammy for Bruce Swedien & Teddy Riley". Grammy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-20. Iliwekwa mnamo 2009-02-25.
- ↑ Carter, Kelley L.. "New jack swing", Chicago Tribune, 2008-08-11. Retrieved on 2008-08-21. Archived from the original on 2008-12-16.
- ↑ "Canadian Recording Industry Association (CRIA): Certification Results". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dangerous (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |