William Carlos Williams


William Carlos Williams (17 Septemba 18834 Machi 1963) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Marekani. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika mashairi, insha za historia na riwaya fupi. Mwaka wa 1963 wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi kwa ajili ya mkusanyiko wake “Picha za Brueghel, na Mashairi Mengine” (kwa Kiingereza: Pictures from Brueghel, and Other Poems) iliyotolewa mwaka wa 1962.

William Carols Williams

Amezaliwa 17 Septemba 1883
New Jersey Marekani
Amekufa 4 Machi 1963
New Jersey, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi, Daktari
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Carlos Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.