William Lukuvi
(Elekezwa kutoka William Vangimembe Lukuvi)
William Lukuvi (amezaliwa 15 Agosti 1955) ni mbunge wa jimbo la Ismani katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Mhe. William Lukuvi Mb | |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi | |
Muda wa Utawala 24 Januari 2015 – 8 Januari 2022 | |
mtangulizi | Prof. Anna Tibaijuka |
---|---|
aliyemfuata | Angeline Mabula |
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
na Bunge | |
Muda wa Utawala 28 Novemba 2010 – Januari 2015 | |
mtangulizi | Philip Marmo |
aliyemfuata | Jenista Mhagama |
Mbunge wa Ismani
| |
Aliingia ofisini Novemba 1995 | |
tarehe ya kuzaliwa | 15 Agosti 1955 Mapogoro, Tanganyika |
utaifa | Tanzania |
chama | CCM |
mhitimu wa | TTC (Tabora) (Cert) Chuo Huria cha Tanzania |
dini | Mkristo |
Aliwahi kuwa waziri katika nafasi mbalimbali.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ ["Mengi kuhusu William Lukuvi". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-15. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu William Lukuvi]
Viungo vya nje
hariri- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |