Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Tanzania (kwa Kiingereza: Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training) kifupi ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu, elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania pamoja na mafunzo ya ufundi.

Ofisi kuu ya wizara hii ipo mjini Dodoma.[1]

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.