Wizara ya Madini (kwa Kiingereza: Ministry of Minerals) ni wizara mpya ya serikali nchini Tanzania iliyopatikana tarehe 7 Oktoba 2017 baada ya Rais John Pombe Joseph Magufuli kuvunja wizara ya Nishati na Madini na kutengeneza wizara mbili: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini.

Wizara ya Madini
Kiingereza: Ministry of Minerals
Wizara ya Madini
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue,Dar es Salaam
WaziriAngellah Kairuki
Naibu WaziriStanslaus Haroon Nyongo
Tovutimem.go.tz

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit