Wizara ya Nishati na Madini

Wizara ya Nishati na Madini (kwa Kiingereza: Ministry of Energy and Minerals; kifupi (MEM)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.

Wizara ya Nishati na Madini
English: Ministry of Energy and Minerals
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue, Dar es Salaam
WaziriSospeter Muhongo
Naibu WaziriStephen Masele
Katibu MkuuEliachim Maswi
Tovutimem.go.tz

Ofisi kuu za wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.

Tarehe 7 Oktoba 2017 John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliivunja wizara hii na kuifanya kuwa wizara mbili tofauti: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini, na tarehe 9 Oktoba 2017 aliweza kuwaapisha rasmi mawaziri na naibu mawaziri wa wizara hizo.

Marejeo hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri