Wizara ya Nishati

Wizara ya Nishati (kwa Kiingereza: Ministry of Energy) ni wizara mpya ya serikali nchini Tanzania iliyopatikana baada ya tarehe 7 Oktoba 2017 Rais John Pombe Joseph Magufuli kuvunja wizara ya Nishati na Madini na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini.

Wizara ya Nishati
Kiingereza: Ministry of Energy
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue,Dar es Salaam
WaziriDkt. Medard Matogolo Kalemani
Naibu WaziriSubira Khamis Mgalu
Tovutinishati.go.tz

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit