Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (kwa Kiingereza: Ministry of Science, Information and Technology; kifupi (COSTECH)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.

Ofisi kuu ya wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.

MarejeoEdit

Tazama piaEdit