Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (kwa Kiingereza: Ministry of Construction, Transport and Communication) ni wizara ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya Rais John Pombe Joseph Magufuli kuunganisha Wizara ya Ujenzi na wizara ya Uchukuzi na kisha kuiongezea idara ya Mawasiliano ambayo awali ilikuwa ndani ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Kiingereza: Ministry of Construction, Transport and Communication
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue,Dar es Salaam
WaziriProf. Makame Mbarawa Mnyaa
Naibu WaziriMhandisi Atashasta Justus Nditiye Elias John Kwandikwa
Tovutimem.go.tz

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit