Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
uwekezaji Ni kitendo Cha kuwekeza rasilimali mbalimbalikwa ajili ya manufaa ya baadae.
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (kwa Kiingereza: Ministry of Industry, Trade and Investment) ni wizara mojawapo ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania.
Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji English: Ministry of Industry,business and Investments | |
---|---|
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue, Dar es Salaam |
Waziri | Ashantu Kijaji |
Naibu Waziri | Exaud Kigahe |
Katibu Mkuu | Hashil T. Abdallah |
Tovuti | mem.go.tz |
Rais John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyeanzisha wizara hii, ambayo hapo awali iliitwa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko.
Ofisi kuu ya wizara hii ipo jijini Dar es Salaam.
Serikali ya Tanzania inatakiwa kuongeza viwanda ili watu wapate ajira kama mataifa mengine.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Archived 19 Juni 2008 at the Wayback Machine.
- Biashara ya nchini Tanzania 20 Aprili 2011 tovuti rasmi ya Adan Rosen.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |