Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko

Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko (kwa Kiingereza: Ministry of Industry, Trade and Marketing; kifupi (MITM)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.

Ofisi kuu ya wizara hii ilikuwa jijini Dar es Salaam.

Serikali ya awamu ya tano, ikiongozwa na Rais John Pombe Joseph Magufuli, iliibadilishia jina wizara hii na kuwa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Serikali ya Tanzania inatakiwa kuongeza viwanda ili watu wapate ajira kama mataifa mengine.

Marejeo hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri