Wolfgang Pauli (25 Aprili 190015 Desemba 1958) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza nadharia ya Albert Einstein (Relativity Theory) na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1925 alitangaza Kanuni ya Pauli. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Wolfgang Pauli
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wolfgang Pauli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.