Wote ni mji wa Kenya Mashariki. Ni makao makuu ya kaunti ya Makueni. Ni kata ya Eneo bunge la Makueni[1].

Wote


Wote
Wote is located in Kenya
Wote
Wote

Mahali pa Wote katika Kenya

Majiranukta: 1°47′0″S 37°38′0″E / 1.78333°S 37.63333°E / -1.78333; 37.63333
Nchi Kenya
Kaunti Makueni
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 56,419

Wakazi wa eneo lake ni 56,419 (sensa ya mwaka 1999).

Tanbihi hariri