Xenofoni
Xenofoni (pia Xenophon; mnamo 430 KK – 354 KK) alikuwa mwanahistoria, askari na mwanafalsafa wa Ugiriki ya Kale aliyeishi wakati mmoja na Sokrates. Anajulikana kwa maandishi yake juu ya historia ya nyakati zake mwenyewe yaani karne ya 4 KK. Alihifadhi pia maneno ya Sokrates[1], na maelezo ya maisha katika Ugiriki ya Kale na Milki ya Uajemi.

Xenofoni, mwanahistoria wa Ugiriki
Alikuwa kiongozi wa jeshi la Wagiriki walioajiriwa na mdogo wa mfalme wa Uajemi aliyejaribu kumpindua kaka yake; Xenofoni aliwaongoza Wagiriki hadi Babeli na baada ya kifo cha mwajiri wao aliwaongoza pia kwenye safari ya kurudi.[2]
Maandiko yake mashuhuri ni pamoja na
MarejeoEdit
- ↑ An Introduction to the Work of Xenohon (en-US). Xenophon. Iliwekwa mnamo 2022-08-24.
- ↑ Ambler, Wayne (2011). The Anabasis of Cyrus. Translator's preface: Cornell University Press. ISBN 978-0-8014-6236-8.
Viungo vya NjeEdit
- Graham Oliver's Xenophon Homepage
- Xenophon's Education of Cyrus (Cyropaedia) Web directory
- Famous Quotes by Xenophon
- Sanders (1903) Ph D Thesis on The Cynegeticus
- Xenophon at Somni
- Marejeo katika mtandao
- Works by Xenophon at Perseus Digital Library
- Links to English translations of Xenophon's works
- Leo Strauss' Seminar Transcripts on Xenophon (1962, 1966); and an audio recording of the entire course on Xenophon's Oeconomicus (1969) are available for reading, listening or download.
- Works by Xenofoni katika Project Gutenberg