Xenofoni
(Elekezwa kutoka Xenophon)
Xenofoni (pia Xenophon; mnamo 430 KK – 354 KK) alikuwa mwanahistoria, askari na mwanafalsafa wa Ugiriki ya Kale aliyeishi wakati mmoja na Sokrates. Anajulikana kwa maandishi yake juu ya historia ya nyakati zake mwenyewe yaani karne ya 4 KK. Alihifadhi pia maneno ya Sokrates[1], na maelezo ya maisha katika Ugiriki ya Kale na Milki ya Uajemi.
Alikuwa kiongozi wa jeshi la Wagiriki walioajiriwa na mdogo wa mfalme wa Uajemi aliyejaribu kumpindua kaka yake; Xenofoni aliwaongoza Wagiriki hadi Babeli na baada ya kifo cha mwajiri wao aliwaongoza pia kwenye safari ya kurudi.[2]
Maandiko yake mashuhuri ni pamoja na
Marejeo
hariri- ↑ "An Introduction to the Work of Xenohon". Xenophon (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-24.
- ↑ Ambler, Wayne (2011). The Anabasis of Cyrus. Translator's preface: Cornell University Press. ISBN 978-0-8014-6236-8.
Viungo vya Nje
hariri- Graham Oliver's Xenophon Homepage
- Xenophon's Education of Cyrus (Cyropaedia) Web directory
- Famous Quotes by Xenophon Ilihifadhiwa 9 Novemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Sanders (1903) Ph D Thesis on The Cynegeticus
- Xenophon at Somni
- Marejeo katika mtandao
- Works by Xenophon at Perseus Digital Library
- Links to English translations of Xenophon's works
- Leo Strauss' Seminar Transcripts on Xenophon (1962, 1966); and an audio recording of the entire course on Xenophon's Oeconomicus (1969) are available for reading, listening or download.
- Works by Xenofoni katika Project Gutenberg