Yakobo, Abrahamu na Yohane

Yakobo, Abrahamu na Yohane ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kanisa la Wakopti linawaheshimu kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Agosti, ila nchini Ethiopia tarehe 11 Agosti.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.