Yannick Mukunzi (alizaliwa 2 Oktoba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Rwanda ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Sandvikens IF, na timu ya taifa ya Rwanda.

Kazi ya klabu

hariri

Mukunzi alianza kazi yake ya mpira akiwa na klabu ya Rayon Sports F.C. na kwenda katika klabu ya Sandvikens IF, kwa mkopo.

Kazi ya kimataifa

hariri

Yannick ni moja ya wachezaji wa timu ya taifa ya rwanda iliyocheze katika mechi za kufuzu mashindano ya mataifa ya afrika AFCON mwaka 2019.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yannick Mukunzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.