Yasmine Klai (alizaliwa 15 Septemba 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama kiungo wa Klabu ya Olympique Lyonnais pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia. Yasmine ni mzaliwa wa nchini Ufaransa.[1]

Marejeo hariri

  1. "Yasmine ni mzaliwa wa nchini [[Ufaransa]]". alchourouk.com (kwa Kiarabu). 24 August 2021. Iliwekwa mnamo 24 August 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help); Wikilink embedded in URL title (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasmine Klai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.